Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akipokea zawadi ya nembo ya jeshi la China kutoka kwa Mkuu wa tawi la ugavi wa China Luteni Jenerali Liu Shengjie alipomtembelea ofisini kwake jana makao makuu ya jeshi jijini Dar es salaam.
Mkuu wa tawi la Ugavi wa jeshi la china Luteni Lenerali Liu Shengjie akipokea zawadi ya nembo ya JWTZ kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jana makao makuu ya jeshi jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa maofisa wa jeshi toka China ukiongozwa na Mkuu wa Ugavi wa jeshi hilo Luteni Jenerali liu Shengjie mara baada ya kumtembelea ofisini kwake makao makuu ya jeshi jana jijini Dar es salaam.(Picha na Luteni Selemani Semunyu)





No comments:
Post a Comment