Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwanamitindo Karoli Mgombelwa(kulia) akitoa ufafanuzi kwa Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi(kushoto)kuhusu moja ya nguo analizozitengeneza mwenyewe na kuziwekea brand yake ya Mgombelwa mara baada ya kuvalishwa na mwanamitindo huyo.
Karoli Mgombelwa ni mmoja ya wanamitindo wadogo walioanza kwa kazi hapa nchini kwa kuja kitofauti kwa mavazi ya kisasa aliyoyawekea brand yake ya Mgombelwa hakika tunaweza kusema Tanzania kuna kiwanda cha kuzalisha vipaji. Kama vijana kamahuyu watasimamiwa vyema basi tutegemee makubwa ndani na nje ya Tanzania.
Mwanzilishi na C.E.O wa Samaki Samaki, Bw. Carosi akiwa kwenye mwonekano wa Mgombelwa Brand
Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Linex naye amevalishwa na mwanamitindo huyo
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Ben Pol akiwa amevalishwa na Mwanamitindo Mgombelwa.

Sio kwenye mavazi ya kawaida pia hata kwenye mavazi ya Harusi
Endelea kutazama picha zaidi hapa chini

Sio kwenye mavazi ya kawaida pia hata kwenye mavazi ya Harusi
Endelea kutazama picha zaidi hapa chini















No comments:
Post a Comment