Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa ya Parole, Augustine Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza baada ya kutembelea Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016.
(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:
Post a Comment