Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupa ombi la Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema la kutaka marejesho ya kesi yake.
Mahakama hiyo imewataka mawakili wake kukata rufaa ya kupinga zuio la dhamana.
Lema ambaye amesota mahabusu tangu akamatwe mkoani Dodoma Novemba 3, anakabiliwa na tuhuma za kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli.
CHANZO: MWANANCHI
No comments:
Post a Comment