HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA BIASHARA KWA VIJANA, FURSA, TARATIBU NA SHERIA ZA KUFANYA BIASHARA NDANI YA SOKO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mkufunzi Linus Gedi, akiendesha mafunzo ya Biashara kwa Vijana kuhusu, Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, yanayoendelea kwa siku ya pili leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya siku tano yalifunguliwa jana Nov 21 na yanatarajia kumalizika Nov 25. 

Mkufunzi Elias, Kahabi akiendesha mafunzo ya Biashara kwa Vijana kuhusu, Fursa za Vijana na Taratibu, Sheria za kufanya Biashara ndani ya Soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki, yanayoendelea kwa siku ya pili leo kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya siku tano yalifunguliwa jana Nov 21 na yanatarajia kumalizika Nov 25. 
Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akichangia mada wakati wa mafunzo hayo kwenye Hoteli ya Blue Pearl-Ubungo Plaza.
Mshiriki akichangia mda katika mafunzo hayo.
Washiriki wakinyoosha mkono ili kujibu swali la mkufunzo baada ya kumalizika kwa mada husika.
Mshiriki akichangia mada baada ya somo husika kumalizika.
Sehemu ya washiriki wakiwaka katika mafunzo hayo.
Darasa likiendelea.
Washiriki wakiwa darasani
Darasa likiendelea
Mkufunzi, Elias akiendelea kumwaga nondozzzzz.......
Mkufunzi na mmoja kati ya waratibu wa mafunzo hayo, Mwajuma Hamza, akiweka mambo sawa.
Washiriki wakiwa darasani.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: