HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » JE WATAKA KUJUA: ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WA NCHI ZA ASIA WANAFANYIWA UPASUAJI WA SURA ZAO

Wanawake wengi nchini Korea, China, Japan na nchi zingine za Asia wanaofanyiwa upasuaji wa sura zao kupitia plastic surgery wamejikuta kwenye wakati mgumu kwenye viwanja vya ndege pindi wanapotaka kusafiri kufuatia maafisa wa viwanja hivyo kuzikataa passport zao kutokana na mabadiliko makubwa ya sura zao. Picha hii inamwonyesha mwanamke wa kijapani kabla na baada ya kufanyiwa upasuaji wa kubadili sura yake


Imeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: