Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Nchini Denmark, Serikali imeweka utaratibu wa kuwalipa wanafunzi wa secondary (high school) wenye umri kati ya miaka 18 hadi 20 wanaoishi na wazazi wao kati ya dola 465 sawa na Ths 976,000 kwa mwezi.
Kwa wanafunzi wasioishi na wazazi wao wanapokea dola 1,078 sawa na Tsh 2,263,000 kwa mwezi
Lengo la kufanya hivyo ni kuwahamasisha wanafunzi kumaliza elimu ya sekondari. Ikumbukwe fedha hizi si mkopo bali ni ruzuku na mwanafunzi hatazirejesha hata kama akiamua kuacha shule.
Imeandaliwa na Moses Mutente
Imeandaliwa na Moses Mutente




No comments:
Post a Comment