HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » JE WATAKA KUJUA: KIJANA AKOSA PASSIPORT BAADA YA PICHA ZAKE KUKATALIWA NA MFUMO WA COMPUTER

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Raia wa New Zealand Richard Lee (mwenye asili ya bara la Asia) ameshindwa kupata passport baada ya picha zake kukataliwa na mfumo wa computer alipokuwa anajisajiri ili kupata passport. Mfumo huo wa computer ulitoa ujumbe kwamba picha za Richard hazifai kwasababu alikuwa amefumba macho, licha ya kwamba hakuwa amefumba macho.

KIjana huyo mwenye miaka 22 na mwanafunzi wa Injinia alipatwa na tatizo hilo mara tu alipojaribu kuweka picha zake. Watu wengi wenye asili ya Asia hasa nchi zilizo karibu na China wamekuwa wakifanya upasuaji wa kuongeza ukubwa wa macho yao kwa kupunguza nyama za vifuniko vya macho (eye lid).

Imeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: