HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA (27)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Baada ya hapo nikakumbuka yale maneno aliyoniambiaga Mr X eti kuwa hana hisia na mimi kwa sababu ni mwanafunzi kwenye mapenzi na kamwe siwezi kumkojoza, sasa nikamtazama mume wangu ambaye hata uanafunzi alikuwa bado hajaufikia. 
Nikaona kumuwekea hisia itakuwa ni sawa na bure nikaona ngoja nijizuie, leo iwe siku ya kumfurahisha yeye tu, kiasi kwamba yale maneno kuwa huwa naendaga kwenye darasa la mapenzi ayaamini kupitia utundu ninaomfanyia.
Wakati nimehakikisha amesimamisha vya kutosha basi kama kawaida nikafuata zile staili nilizoelekezwa, nikazifanya tena kwa ustadi mkubwa ingawa mume wangu  alikuwa akimwaga fastafasta hadi akawa anaboa, lakini kote huko nilijionesha kujifanya ananiridhisha kweli kwa kuwa naingizia zile sauti zetu feki.
Kama kawaida kila mara dudumizi wake akianguka, mimi nilikuwa nikimuinua kwa staili ile ile niliyoisema hapo mwanzo tena nikajifunza kitu kipya mwenyewe, Niligundua kuwa kuna mstari ambao mwanaume anao unaopita kuanzia kwenye kiota chake cha mayai hadi kwenye sehemu ya kutoa kumelukumelu.
Mstari huu unapanda juu ukiwa umepita kichinichini hadi chini ya kichwa cha Selebobo wake, huo mstari nilipokuwa nikiupapasa taratibu kuanzia hapo chini ya kichwa na kushuka chini hadi karibia ile sehemu ya bomba la taka niliona uhai wa Nkurunzinza wake unarudi haraka yaani inakuwa si lazima kunyonyanyonya kila saa; sijui kwa wengine lakini kwa mume wangu hiyo ilijibu haraka.
Nasikia kuwa wengine hutumia ngozi ya paja la mwanamke kurudisha hisia, hapa nasikiwa unachukua kichwa cha Selebobo wa mtu wako  na kukisugua taratiibu kwenye ngozi hiyo laini ya paja, huku mkiwa mnapiga stori tu zingine mkiwa mmelala kitandani. Dakika moja nyingi kitu kinakuwa nzawise.
Sijui njia hizo kama zinaweza kufanikiwa kwako unaweza kujaribu kwa mtu wako. Hapo ndipo tunapotakiwa kuwa wadadisi kwa miili ya wapenzi wetu ilikujua wanahisia sehemu ipi na sio tu kujifikiria sisi pekee.
Hata hivyo kwa mimi kugundua njia ya kumuamsha jogoo wa mume wangu nilijiona kama mgunduzi mkubwa hivyo nilifurahi. Nikampa staili zote nilizofundishwa. 
Mpaka tunamaliza mechi mume wangu aliuwa ameenda haja ndogo kama mara tano wakati mimi hata mara moja. Sikuwa na hisia hata kidogo kwa sababu mume wangu ni mwanafunzi tena mbumbumbu kabisa.
Kama kawaida mume wangu baada ya mperampera huo alilala kama pono, nilishtukia tu asubuhi akinibusu nikiwa usingizini, niliposhtuka nilimuona akiwa na furaha sana, akaniambia; “Darling jana umenifundisha kitu kikubwa sana, I Love You.”
Baada ya kusema hivyo akaondoka. Nikajiuliuza ni yaleyale mapenzi au kuna jambo jingine! Hata hivyo jibu nililipata mwenyewe nikajipongeza. Sasa nikaapa kutochati hovyo na Mr X wala kujifanya nampendampenda. Niliapa kukutana naye kama mwalimu tu na si kingine kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni ya muhimu sana, isipokuwa hata hivyo bado nilihitaji baada ya kujua tekniki mbalimbali ili nifanye mechi ya mwisho ambayo niliiweka kiporo na Mr X, nitakapomshinda nitajichukulia kama mkufunzi niliyempiga Master na sitarudia kufanya naye tena na darasa lenyewe nitakuwa nimeshamaliza kozi.
Wakati nawaza hayo nikachukua simu yangu na kumtwangia, Blandina nikamuelezea kila kitu kilichotokea. Akashangaa na kuniambia wataandaa somo ambalo alikuwa na uhakika mume wangu hataacha kurudi kusoma, na kuniahidi tatizo la kutojua mapenzi linaweza kutatuliwa kwa asilimia 99 na Dr Ben.
Hapa ndipo nikaanza kumpa umbea, Blandina kuhusu jinsia ya Dr Ben.
“Hivi,  yule Dr Ben mbona kama simuelewi elewi?” 
“Umeanza sasa enhe Kivipi?” aliuliza Blandina.
“simuelewi naona  kama ana tabia za kikekike hivi! Kwani haujagundua?” 
“Hahaaa! Kwani we hujui yule mwenzako ni shosti? Unaambiwa anajua mapenzi balaa wanaume wake tena wanapesa balaa!” aliposema hivi ndiyo nikathibitisha nilichokiona siku ile. Nikaona ngoja nimuulize Blandina kuhusu mtu anayeitwa Mr X kama anamfahamu.
“Mr X? ndiyo nani tena!” aliuliza Blandy akionekana hajui chochote.
“Labda anatumia jina la Jermaine lakini ni rafiki yake Dr. Ben haumjui?” niliendelea kumuuliza Blandina lakini hilo likamfanya mwenzangu aanze kuniuliza nilikuwa na uhusiano gani na huyo mtu, nikaona nimjibu kisiasa;“Nitakwambia tukikutana.”
 Nilikata simu na kupuuzia utafiti huo wa kumjua Mr X, nikamaliza kufanya kazi zangu na kuamua siku hiyo nilale vizuri. Jioni kama kawaida mume wangu alirudi, akiwa na furaha kama alivyoondoka na aliniletea zawadi ya gauni zuri. 
Kiukweli nilikuwa kama nimemfungua kitu akilini mwake. Akanichangamkia na kuonekana hana kinyongo chochote na mimi. Badala yake aliongea mwenyewe kuwa angependa sana kuonana na Dr Ben na darasa zima na akaonesha kuwa na hamu sana ya kujiunga na darasa hilo. 
Nilivuta picha na kujikuta nikiona aibu kwa jinsi ambavyo wote tutakuwa darasa moja na Dr. Ben akiongea mambo yake ya matusi. Kiukweli haitakuwa ikileta picha nzuri.

ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: