HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » » JE WATAKA KUJUA: MTOTO BRADLEY LOWERY SHABIKI WA KUTUPWA WA SUNDERLAND LAKINI AMEBAKIZA MIEZI MIWILI KUFARIKI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Bradley Lowery ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake futi 6 chini ya Ardhi.Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley.
Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi. Kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani.

Lakini mtoto huyu anaweza kupona endapo zitapatikana  pesa kiasi cha Pound £610,000  sawa na shilingi bilioni 1,682,348,400 za kitanzania.
Juzi kwenye mechi ya Sunderland na Everton mtoto Bradley Lowery alichangiwa kiasi cha  Pound £200,000 ni sawa na shilingi milioni 551,591,800 za kitanzania.

Pia wametoa wameanza kuhamasisha watu kushare picha za mtoto huyo na kuweka hashtags ya #hopeforbradley na #bradleysfight ili watu waweze kumchangia hiyo pesa kabla ya miez 2.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: