HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » JE WATAKA KUJUA: WANYAMA WANAOCHIJWA KWA KILA SEKUNDE KWA AJILI YA KULIWA

Kila sekunde inayopita zaidi ya wanyama 1776 wanachinjwa duniani kote kwa ajili ya kuliwa na binadamu. Kwa mwaka mmoja zaidi ya wanyama Billioni 56 huchinjwa.

Idadi hiyo haijumuishi idadi ya samaki na viumbe wengine wa baharini ambao hupimwa kwa mamilioni ya tani. Marekani pekee zaidi ya wanyama Billioni 10 huchinjwa kwa mwaka.

Imeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: