HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » PICHA: HUYU NDIYE MISS WORLD 2016, AFRIKA MASHARIKI YAINGIA TOP 5

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Miss Puerto Rico ndio amefanikiwa kushinda taji la Miss World 2016, lakini muwakilishi wa Tanzania Diana Edward kwa bahati mbaya hakufanikiwa kufika nafasi za juu. 
Miss World 2016 akivalishwa taji

Afrika Mashariki imeweza kuwakilshwa vizuri na miss kutoka nchini Kenya baada ya kufanikiwa kuingia Top 5 na ndio nchi pekee ya Afrika iliyofanikiwa kuingia Top 5 ya Miss World, huku Miss Dominician Republic akishika nafasi ya pili na Miss Indonesia akishika nafasi ya tatu. 
Mashindano hayo hayo yamefanyika Washington Marekani, Afrika ilipata nafasi ya nchi za Kenya na Ghana kuingia Top 20.


Top 5 ya Miss World



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: