HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa pili kutoka kulia, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakwanza kushoto, Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Doto James wakwanza kulia pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Khatibu Malimi Kazungu Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: