Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Na ndiyo maana nilipompigia simu Blandina mapema siku hiyo nikamuandaa kabisa kuwa mume wangu atengewe darasa la peke yake na Dr Ben ili awe anafundishwa kwanza yeye mambo fulanifulani akishaanza kufunguka ndiyo angalau nitaweza kutazamana naye usoni. Na Blandina akanihakikishia itakuwa poa kwa Dr. Ben.
Kama kawaida tuliishi kwa amani wiki nzima tukipendana na kuheshimiana na nakumbuka tulifanya mapenzi tena na mume wangu alionekana kufurahi tena zaidi.
Hatimaye siku ya siku ikafika. Mume wangu aliaga kabisa kazini na kubaki nyumbani. Muda ulipofika bibi na bwana tukaongozana hadi kwa akina Blandina. Tukaingia ndani na kupokelewa vizuri na Dr. Ben na Frank na Blandina.
Nikamtambulisha mume wangu kwao wote, lakini si kwa Blandina kwa kuwa alikuwa akimfahamu na hata siku yetu ya harusi alikuwepo. Baadaye darasa likaanza lakini tofauti na nilivyoongea na Blandina nikashangaa kuona Dr Ben akitumix wote ndani ya chumba hikohiko kimoja.
Mada kuu ikiwa ni; SEHEMU ZIPI ZA MWANAMKE AMBAZO UKIZISHIKA ANAPANDISHA ASHKI MAJNUI?” nikatamani kukimbia maana mada hiyo ilimgusa moja kwa moja mume wangu nikajua lazima ajisikie vibaya maana akijua kuwa hanifanyii hivyo, itakuwaje?
Lakini potelea pote acha ajue. Basi kama kawaida akaanza kufundisha kwa nadharia na lilipokuja somo la upande wa kufanya kwa vitendo kama kawaida, Blandina akavua nguo zake na kusimama mbele yetu wote. Nikamtazama mume wangu nikamuona anaangalia chini kwa aibu lakini alipogundua Dr Ben yupo siriaz akianza kuchambua sehemu moja hadi nyingine. Mume wangu mwenyewe akainua uso wake maana mambo yote yalikuwa mapya mno kwake.
Akaanza; wanaume wengi wanapenda kuonekana wanayajua mapenzi japokuwa kiukweli wengi hawayajui na wanawake nao hawawezi kuwaambia wanaume zao kuwa hawajui.. na kama ukimwambia mwanaume kuwa hajui mapenzi utakuwa umemuumiza sana na maumivu yake ni zaidi ya kukataliwa.
“lakini kwa bahati nzuri kuna watu kama sisi ambao tuna mengi ya kuwafunza wanaume na wanawake ili mboreshe mahusiano yenu,” aliposema hivi nikajikuta najuta kumleta mume wangu siku hiyo kwa sababu niliona kama ananilenga mimi badala ya kufundisha mada zake kama kawaida, nilikasirika sana nadhani hata Dr Ben alijua.
“Haya naomba turudi kwenye mada, mwili wa mwanamke hasa ukizungumzia sehemu zenye msisimko, inakuwa ni jambo rahisi sana kwa kuwa zimejipanga kama ramani,” alianza kuelezea Dr Ben akaendelea.
“sehemu zozote katika mwili wa mwanamke ambazo humfanya awe na hisia za mapenzi huwa zimejawa na miisho ya mishipa mingi ya fahamu ‘nerve ending’, kwa hiyo kujua sehemu ambazo mishipa mingi ya fahamu huishia ndiyo ufunguo hasa wa somo letu.”
“Nitakuwa nikitaja sehemu moja baada ya nyingine na naomba Frank uziguse kwenye mwili wa Blandina ili tujifunze kwa vitendo,” alisema Dr Ben wakati huo Frank akajiandaa na kwenda kumfuata Blandina wakiwa hawana noma hata kidogo. Nikamtazama mume wangu nikaona akiwa ametoa macho kama nini, akiwatazama wapenzi hao na vyote vilivyokuwa vikiendelea.
“Sehemu ya kwanza ni kichwani hasa upande wa kisogoni, ngozi iliyo chini ya nywele za mwanamke kuna hisia za kipekee pindi unapoishika, Mr George unaweza pia ukafanya hivyo kwa mkeo, nadhani haitaharibu kitu, si ndiyo!” alichombeza Dr Ben. Mume wangu naye akanifuata na kuanza kunishikashika kama Frank alivyokuwa akimfanyia Blandina.
“ Mr George taratibu kidogo, hapo unaweza ukafanya hivyo wakati unamuongelesha maneno mazuri ya mapenzi mkeo,” alielekeza Dr Ben maana mume wangu alikuwa akinishikashika kama vile anatafuta chawa. Lakini kweli kulikuwa na hisia fulani nilizozisikia.
“sehemu ya pili ni, masikio. Lakini haya mara nyingi huwa na mishipa ya fahamu midogomidogo mno, hivyo unachotakiwa kufanya ni kufikia sikio la mpenzi wako kwa ulimi hasa ukianzia nje na kuchezea sehemu mbalimbali ndani yake lakini pia hata ukiwa unapumua hewa ya moto itokayo puani pindi inapogusa maeneo hayo ya sikio huwa balaa.
Japo kuwa si kila mwanamke huwa na hisia sehemu hii, na wengine wakawa ni sikio moja tu, hivyo mchunguze mtu wako,” alisema Dr Ben na mume wangu akaanza kunifanyia kwa vitendo palepale. Badala ya kusikilizia stimu nikawa namshangaa jinsi alivyozama somoni, kama mwenyeji vile.
ITAENDELEA JUMATATU



No comments:
Post a Comment