HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA THELASINI NA MOJA (31)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Basi alipomaliza hapo akaanza kutuelekeza jinsi ya mwanaume anavyoweza kutumia staili kadhaa za kufanya mapenzi ili kuifikia G. Spot, ambapo Frank aliambiwa aendelee na Blandina na kweli wakawa wanakojozana hadi ikawa kinyaa. Lakini mume wangu alionekana akishangaa kila kitu.
Wakati huo ikabidi Dr.Ben na sisi tutoke nje na kuwaachia wapenzi wasio na aibu kuendelea na somo lao kwa vitendo, mimi na mume wangu tukakaa pale sebuleni na Dr.Ben.
“Mr George umeonaje darasa letu,” alianza kuuliza Dr Ben.
“Aisee nimeshangaa sana, kweli wewe ni Sexiologist. Unajua wakati mke wangu ananiambia mambo haya nilishangaa sana lakini kwa niliyoyaona nimeona kuna mengi yakujifunza ilikufikia ridhiko la mapenzi ambalo mtu anatakiwa kulipata,” alijibu mume wangu.
“Hakikisheni mnafanya kwa vitendo kila tunayofundishana hapa mkifika nyumbani maana najua mna aibu sana kufanya wazi hapa kama wenzenu wakina Frank,” alisema Dr Ben, nikashangaa mume wangu akidakia; “hapana hatuna aibu, pengine ni ugeni lakini tunaweza 


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA ALHAMISI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: