HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA THELASINI NA TANO (35)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Najua wengi mnanifahamu kwa jina la Mary, hasa baada ya kuwaelezea mikasa ya Mr X na mambo niliyojifunza kwenye ulimwengu wa mapenzi kiasi cha kuweza kumridhisha kimapenzi gwiji la mahaba ambaye ndiye ‘Mr X’ yaani mume wangu wa ndoa, “Jermaine”.
Mara zote nilikuwa nikifurahia sana maisha yangu ya ndoa ya Jermaine tukiwa Marekani kiasi kwamba sikudhania kama kuna misukosuko itatokea na kutupima kwenye ndoa yetu tumesimamaje.
Nasema hivyo maana kwa yaliyonikuta siyo tu kwamba yamenifunza,  bali yalinitoa kabisa kile kiburi nilichokuwa nacho kuwa mimi ni kati ya wanawake wanaojua mapenzi duniani, na zaidi kule kujiamini kuwa eti mimi ndiyo napendwa na mume wangu kiasi kwamba hatoweza kunisaliti na mwanamke mwingine.
Hakika mapenzi hayana mwenyewe, hayo nimejifunza. Maana ilifikia hatua nikajua kuwa kumbe kwenye mapenzi ndiyo kwanza nilikuwa kurasa ya pili kama siyo ya tatu ya kitabu chenye kurasa mia moja. Na mbaya zaidi nikakutana na wajanja ambao wanajua mapenzi zaidi yangu kiasi cha kuyumbisha ndoa yangu.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMATATU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: