Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Maneno ya mama yakanikumbusha mambo mengi sana, maana alikuwa akisema mulemule, nilianza kuwaza kipindi ambacho nilikuwa na mimba, nilitokea sana kumchukia mume wangu kiasi kwamba sikutaka kukaa naye hata karibu na hatukufanya mapenzi kabisa karibia miezi mitatu mizima.
Lakini cha kushangaza kipindi hicho sikuwahi kujiuliza mume wangu alikuwa akifanya mapenzi na nani wakati huo wote, kwa sababu nilijua kuwa kiasili mwanaume hawezi kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi hivyo lazima tu alimtafuta mtu sehemu ili apunguze hamu zake.
Hapa niwape somo dada zangu na wadogo zangu ambao eti wana mapenzi ya mbali ‘long distance relationships’ na eti miezi hata sita na wanaamini kabisa wapenzi wao kuwa wao wapo peke yao, siyo kweli wanachepuka.
Lakini cha kuwapongeza wanaume ni kwamba, wao huchepuka na kusaliti ndoa kwa ajili ya starehe zao tu, na siyo kama wamewapenda kweli hao wanawake, na ushahidi ni kwamba mwisho wa siku hurudi nyumbani kwa wake zao, tofauti na wanawake ambao wakisaliti ndoa wamesaliti kwa moyo na akili, nadhani ndiyo maana hata Mungu aliwafanya wanaume wawe wagumu mno kusamehe mwanamke anayechepuka kuliko kwa mwanamke kumsamehe mwanaume anayechepuka.
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
ITAENDELEA IJUMAA



No comments:
Post a Comment