Kambi ya vikosi vya Jeshi la Kenya KDF nchini Somalia eneo la Kulbiyow limevamiwa na wanamgambo wa AlShabaab asubuhi ya leo.
Kambi hiyo iko karibu na mpaka wa Kenya na Somalia ikilindwa vikosi vya KDF kutoka eneo la Mombasa.
Kwa mujibu wa Jeshi la Kenya vikosi zaidi vimetumwa kukabiliana na wanamgambo hao ila taarifa za mauji na majeruhi bado hazijatolewa.
Hi si mara ya kwanza kwa vikosi vya Kenya chini ya AMISOM kuvamia mwaka 2015 zaidi ya wanajeshi 56 wa jeshi la Kenya waliuawa wakati kambi yao eneo la Rl-Ade iliposhambuliwa na Al Shaabab
No comments:
Post a Comment