HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » MBUNGE WA KILOMBERO AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI SITA

Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali na Dereva wake, John Kibasa wamehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kosa la kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi mwaka 2015.
Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kilombero na sasa amepelekwa gerezani huku taratibu za kukata rufaa zikiendelea.
Hukumu hiyo ilisomwa chemba lakini wabunge wawili wa Chadema Joseph Haule (Mikumi) na Ester Bulaya (Bunda Mjini) waliingia na kusikiliza hukumu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: