HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » MV. MAGOGONI NA MV. KIGAMBONI ZAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA USAFIRI KWA WANANCHI JJINI DAR ES SALAAM.

 Abiria wakipanda katika kivuko cha Mv. Magogoni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya Ferry na Magogoni, leo Jijijini Dar es salaam.
Abiria wakishuka kutoka katika kivuko cha Mv. Kigamboni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya eneo la Magogoni na Feri, leo Jijijini Dar es salaam.


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: