Timu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, imebugizwa mabao 4-0 na Vijana wa Chamazi, Azam Fc kwenye pambano la shoka katika michuano ya kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa Aman mjini Unguja usiku huu Januari 7, 2017. Magoli ya Azam Fc yalifungwa na Boko dakika ya 2, Yahaya Mohamed dakika ya 55, Joseph Mahundi dakika ya 80 na Enoc dakika ya 85.(PICHA NA OTHMAN MAPARA WA ZANZINEWS).

-



No comments:
Post a Comment