Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
“madam una uhakika na hili unalosema? Aliniuliza yule askari, nikamthibitishia kuwa nina uhakika zaidi ya asilimia mia, lakini nilimtaka asinitaje wala nisijulikane. Basi yule askari akaniambia nisiwe na wasiwasi akaniambia nikakae kwenye chumba kimoja hivi ambacho kilikuwa na vioo mkabala na ile sehemu ya makaguzi. Vioo vile mtu wa nje hawezi kuona lakini mimi niliweza kumuona kila anayepita.
“Mimi nitakuwa hapo kwa nje, ukimuona tu nipigie kwa hii radio call,” alisema yule afande na kuelekea kule nje maana tayari ilianza kufikia saa kumi kasoro. Sasa muda wowote watakuwa wakija.
Mungu mkubwa, nikatazama kwenye foleni ya ukaguzi kwa nyuma kabisa alikuwa mume wangu, na begi lake halafu mbele yake nilimuona Hadija, sura yake ikiwa imejaa ushamba nadhani kwa sababu ni mara ya kwanza anahisi atapanda ndege.
Sasa ikawa zamu ya Hadija akaweka begi lake pembeni na yeye akapitia kuscaniwa halafu akapita, wakati huo nikampigia yule askari allyekuwa pale. “Ndiyo huyo mwenye wigi jekundu!” nilisema kwa harakaharaka.
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
ITAENDELEA JUMATANO
No comments:
Post a Comment