Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Siku nzima nikawa nimebaki na mawazo mno kiasi kwamba sikuweza kula wala kunywa. Mwanzoni niliona ni rahisi tu kuwaza kuwa nitaachana na mr X na nitadai talaka na haki zangu kama mwanandoa halali, lakini sasa niliona hali hiyo ikiwa ngumu mno. Sikudhani kama nitaweza kuishi bila mume wangu. Tena akiwa amenitelekeza na kumchukua mwanamke mwingine.
Bora basi huyo mwanamke nisingekuwa namjua, lakini ni huyu paka mweusi, Hadija. Hapana lazima nihakikishe kama mimi naenda jela yeye anaenda Muhimbili. Niliwaza na kuingia ndani kwangu na kumtafuta rafiki yangu Blandina, yule ambaye nilijifunza naye darasa la mapenzi .
Kiukweli nilikuwa sijaongea naye muda mrefu mno, lakini kwa sasa nilihitaji anisaidie jambo.
“hallow Blandy!” nilianza.
“poa nani wewe!” aliniuliza kwa kuwa nilikuwa na uhakika hakuwa na namba yangu ya simu.
“Mary rafiki yako!”
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA KUTUMIWA
ITAENDELEA JUMAPILI
No comments:
Post a Comment