Mkurugenzi
wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama, Bw. Stephen Mbundi akitoa mada
kwenye semina ya mtangamano wa Jumuiya ya afrika Mashariki kisiwani
Pemba ambapo alielezea namna Jumuiya hiyo ilivyoanzishwa, faida, fursa
na changamoto mbalimbali zinazopatikana kwenye mtangamano wa Afrika
Mashariki. Bwa. Mbundi akiendelea kuelezea mada yake
Bw. Othman Bakar Shehe akiuliza swali mara baada ya Bw. Mbundi (hayupo pichani) kumaliza kuwasilisha mada yake.
Sehemu ya wajumbe na wajasiriamali wakisikiliza kwa makini majibu yaliyokuwa yakitolewa na Bw. Mbundi.
No comments:
Post a Comment