HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » » » SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi na kamati ya Bajeti leo Ofisini kwake Mjini Dodoma kulia kwake ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: