Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akisisitiza
jambo alipokuwa akiwahutubia Wananchi wa eneo la stendi ya mabasi Msamvu Mkoani Morogoro akitokea mkoani Dodoma leo Julai
27, 2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wananchi wa eneo la stendi ya mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro akitokea Dodoma leo Julai 27, 2017.
Rais
wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akimsikiliza
Bi Maria Gabrieli aliyemweleza kero za wafanyabiasahara
ndogondogo wa Stendi ya Mabasi Msamvu
Mkoani Morogoro kunyanyaswa. Julai 27, 2017.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment