HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » VIDEO:BALOZI WA TANZANIA NCHINI MSUMBIJI AMEWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO.

Watanzania waishio katika mikoa ya MTWARA,RUVUMA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo hususani katika majimbo mawaili ya CABO DELGADO NA NIASSA nchini MSUMBIJI,hayo yamesemwa na balozi wa tanzania nchini MSUMBIJI RAJABU LUHAVI wakati wa mkutano mkutano mkuu wa ujirani mwema kati ya TANZANIA NA MSUMBIJI mkoani RUVUMA.HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: