Afisa Muongoza Ndege Mwandamizi, Godlove Longole akitoa elimu kwa wanafunzi waliotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi (kulia) Godlove Longole na Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu wakitoa Elimu kwa watoto waliotembelea Banda la TCAA katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mkufunzi Mwandamizi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) Kinachomilikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Adinan Mvungi (Kulia),Adinan Mvungi Akitoa Elimu kwa Wanafunzi Waliotembelea Banda la TCAA Katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Afisa Habari Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Ally Changwila akitoa elimu kwa Mwanafunzi aliyetembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu(wa pili kutoka kushoto) akitoa Elimu kwa wananchi waliotembelea banda la TCAA katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Wa kwanza kushoto ni Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi Godlove Longole.
Afisa Habari Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Ally Changwila akitoa elimu kwa Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi –Taarifa za Hali ya Hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), Dkt Ladislaus Chang’a aliyetembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Timu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), wakiwa kwenye picha ya pamoja katika maonesho ya Nane nane 2017 katika viwanja vya Ngongo Lindi.
No comments:
Post a Comment