HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » DOLA BILLIONI 14.5 KUWASAIDIA WAADHIRIKA WA KIMBUNGA JIMBO LA TEXAS NA LUISIANA NCHINI MAREKANI

 Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe Melania Trump wakigawa msaada kwa waathirika wa kimbunga Harvey kilichopiga jimbo la Texas na Luisiana. 

Ikulu ya White House imeomba zaidi ya Dola Billion 14.5 kutoka kwenye Baraza la Congress ili kuwasaidia waathirika wa kimbunga hicho na kuboresha miundombinu ya Majimbo hayo, fedha hizo ni zaidi ya Shillingi za Kitanzania Trillioni 33 (sawa na bajeti ya Tanzania kwa mwaka mzima.

Na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: