Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni kutoka Vietnam ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni kutoka Vietnam ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi mbili.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni kutoka Vietnam ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi mbili.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Vietnam uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi mbili. Katikati ni Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh na kushoto ni katibu wa Balozi huyo, Ndg. Nguyen Binh.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment