Kaimu
Mkurugenzi wa uzalishaji Mifugo na Masoko
wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Assimwe
Rwiguza akipigaji chapa ng’ombe katika Kijiji cha Idodoma Wilaya ya Shinyanga
ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 wa mifugo walioko katika mikoa 26 kusimamia
na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa linalotarajiwa kukamilika
January 31 mwaka huu.
Kaimu Mkurugenzi
wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk
Asimwe Rwiguza akitoa
ufafanuzi wa mahali sahihi panapotakiwa kupiga chapa kwa ng'ombe kwa wafugaji
wa Kijiji cha Idodomya wilayani Shinyanga. kushoto ni Afisa Mifugo wa Halmashauri
ya Wilaya Shinyanga, Dk. Clement Batisiliko
Kaimu Mkurugenzi
wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dk.
Asimwe Rwiguza akitoa
ufafanuzi kwa wafugaji wa Kijiji cha Idomya umuhimu wa kupiga chapa mifugo yao
kabla ya muda wa nyongeza uliowekwa na Serikali kumalizika wa Januari 31 mwaka
huu ambapo Dk. Assimwe ni miongoni mwa timu ya wataalamu 15 wa Wizara ya Mifugo
na Uvuvi walioko kwenye mikoa 26 ya Tanzania bara kusimamia na kufuatilia utekelezaji
wa zoezi la upigaji chapa.
No comments:
Post a Comment