HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » KAMISHANA MPYA WA POLISI ZANZIBAR AJITAMBULISHA KWA RAIS

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Bw. Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya uteuzi wake na dhamana alizopewa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Kamishna Mpya wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Bw. Mohamed Haji Hassan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya uteuzi wake na dhamana alizopewa. (Picha na Ikulu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: