HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » PICHA: JOHN MNYIKA ALIVYOFIKA MSIBA WA AKWILINA KUTOA POLE

JANA  February 19, 2018 Mbunge wa Jimbo la  Kibamba na  Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA -Bara John Mnyika akiwa ameongozana na Afisa Habari wa CHADEMA  Tumaini Makene walifika kwenye msiba wa Mwanafunzi aliyepigwa risas, Akwilina Akwilini akiwa kwenye daladala wakati Polisi wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: