HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » SHEREHE YA MCHAPALO YA MUUNGANO YAFANA WASHINGTON, DC


 Mapokezi wakihakikisha kila mgeni anapokelewa vizuri na kwa ukarimu kwenye mchapalo wa kusherehekea sikukuu ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika siku ya Alhamisi April 26, 2018, Washington, DC katika hotel ya Fairmont Washington na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchi Marekani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.
Kulia ni Balozi wa Tanzania nchiniMarekani Mhe. Wilson Masilingi akifuatiwa na mkewe Marystela Masilingi wakiwa pamoja nae Brigedia Jenerali Adolph Mutta na mkewe wakijiandaa kupokea wageni waalikwa kwenye mchapalo wa kusherehekea sikuu ya mika 54 ya muungano  wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika siku ya Alhamisi April 26, 2018, Washington, DC katika hotel ya Fairmont Washington na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchi Marekani.


 Wageni wakiwasili huku wakisalimiana na Mhe. Balozi Wilson Masilingi, mkewe Marystela Masilingi, Brigedia Jenerali Adolph Muta na mkewe.
Mhe. Balozi Wilson Masilingi akipiga picha ya kumbukumbu na wageni waalikwa.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi na mkewe Marystela Masilingi w akiwa na mgeni wakewn. Bwn Eric Stromayer mwakilishi kutoka  Deperttment of State (Duputy AssistantSecretary Bereau of Africa Affairs  Bwakiwa wamesimama kwa nyimbo za Taifa Tanzania na Marekani.
Mshereheshaji Julia Nyerere akisisitiza jamabo.
 Balozi Mhe. Wilson Masilingi akisoma hotuba yake.aliyelezea mambo mbalimbali ikiwemo kuitangaza Tanzania katika maswala ya utalii.
 Bwn Eric Stromayer mwakilishi kutoka  Deperttment of State (Duputy AssistantSecretary Bereau of Africa Affairs ) akisoma hotuba yake na kuelezea uhusiano wa Marekani na Tanzania. 
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiendelea kutoa hotuba yake.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: