HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » WATU 29 WAFARIKI KWA AJALI ZA BARABARANI KWA KIPINDI CHA MIEZI MITATU MKOANI RUVUMA

Watu zaidi ya 29 wamepoteza maisha huku 42 wakiwa wamepata majeraha mbalimbali kutokana na ajali zilizotokea mkoani wa Ruvuma kwa kipindi cha miezi mitatu kwa mwaka 2018.
Huku sababu kubwa za ajali hizo zikitajwa ubovu wa miundombinu pamoja na malipo madogo kwa baadhi ya madereva.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: