Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye eneo la kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Baadhi ya wakuu wa Taasisi zilizoko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Maimuna Tarishi kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma baada ya hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa akipongezwa na Makatibu Wakuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Profesa Faustin Kamuzora -Sera na Uratibu(wapiti kulia), Eric Shitindi - Kazi, Akira na Wenye Ulemavu (kulia) na Maimuna Tarishi- Waziri Mkuu na Bunge (wapili kushoto) baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mini Dodoma Aprili 4, 2018. Watatu kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Kazi Uchumi na Jamii(LESCO), Det. Samwel Nyantahe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika (Katikati) na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango kwenye viwanja bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Afisa Mtetezi CCBRT Bw. Fredrick Msigala kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge wa Viti Maalum, Faida Mohammed Bakari (katikati), Azza Hilal Hamad (kulia) na Aisharose Matembe kwenye viwanja vya Bunge baada ya kuwasilisha hotuba kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2018/2019, bungeni mjini Dodoma Aprili 4, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment