Wananchi wa kijiji cha MKASALE katika TARAFA YA NAMASAKATA wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA wameishuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwajengea kituo cha afya ambacho kitaweza kuhudumia wakazi zaidi 43,195 . ambapo serikali imeleta milioni 400 huku mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDME akiahidi kuleta wataalamu wenye sifa pamoja na vifaa tiba
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
-
No comments:
Post a Comment