HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKURUGENZI MTENDAJI WA NBAA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

MKURUGENZI MTENDAJI WA NBAA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akizungumza na watumishi wa NBAA alipotembelea banda la Bodi hiyo katika jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa  NBAA alipotembelea banda la Bodi hiyo katika jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akisalimiana na Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bw. Ramadhan Kissimba alipowasili  katika Banda la NBAA katika jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akizungumza na watumishi wa  Wizara ya Fedha alipotembelea banda hilo katika  jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)  ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kimataifa, Uhusiano na Masoko wa IAA, Sarah Goroi kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa na  IAA alipotembelea banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akipokea zawadi alipotembelea Banda la SELF Microfinance Fund katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akupata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Masoko cha TIA, Bi. Lilian Rugaitika alipotembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)  ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Mipango ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akupata maelezo kutoka kwa Afisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa CMSA, Stella Anastazi alipotembelea banda la Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) lililopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi (kushoto) akupata maelezo kutoka kwa  Mkuu wa Masoko na Mauzo wa APC Michael Mwakifuna(kulia) alipotembelea banda la "APC Hotel and Conference "
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Issa Mzenzi akiwa kwenye picha ya pamoja na watumisho wa "APC Hotel and Conference " 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: