HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TIZAMA TUKIO ZIMA HAPA YALIYOJIRI TOKA RAIS OBAMA ANAFIKA TANZANIA MPAKA IKULU HAPO JANA

Ndege aina ya Airforce One iliyobeba msafara wa Rais Barack Obama ikitaka kutua kwenye kiwanja cha Mwalimu Nyerere
Rais Barack Obama akishuka katika ndege iliyomleta huku akifuatana na familia yake.
 Rais Barack Obama akishuka katika ndege iliyomleta huku akifuatana na familia yake.
Rais Obama na mkewe wakipokea maua.

Rais wa Marekani, Barack Obama na mke wake wakipokea maua kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikumbatiana Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama  baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Endelea kutizama picha kwa kubofya hapa chini


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Barrack Obama wa Marekani muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya  kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa anaelekea kumsalimia Rais wa Marekani, Barack Obama
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange akisalimiana na Rais Barrack Obama katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam .
Mkuu wa majeshi wa Tanzania,Davis Mwamunyange  akifuatana na Rais Barack Obama wakati wa kukagua jeshi
Rais Barack Obama wa Marekani akikagua gwaride la heshima wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.



Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akiwatambulisha baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kwa Rais Barrack Obama na mkewe katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam 
 Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
  Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 
 Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa namgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakitizama gwaride kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere
Rais Barack Obama aviwapungia mkono vikundi vya ngoma.
 Rais Obama akiwa na mwenyeji wake Rais Kikwete wa Tanzania wakiangalia ngoma za kiasili

 Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akiwa na Rais wa Marekani alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere
 Helikopta ya Polisi ikiwa katika doria ya hapa na pale, hata hivyo eneo lote la uwanja wa Ndege ulidhibitiwa na Wamarekani wenyewe ikiwemo na kazi ya kuongoza ndege. 
 Ulinzi kila kona
 Ulinzi ulimarishwa.
 Bendera ya Tanzania ikiwekwa katika gari lililombeba Rais wa Marekani, Barack Obama.
  Gari alilopanda Rais Obama

 Safari ya kuelekea Ikulu ilianza


 Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam

Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam


Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam



  Rais wa Marekani, Barack Obama(wa pili kutoka kulia) na First lady Michelle Obama (kulia)  na  Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, na kushoto ni  Tanzania First Lady Salma Kikwete, wakiwa wamefika kwenye Ikulu ya Dar es Salaam, Tanzania Jumatatu July 1, 2013.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.
Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakizungumza na waandishi wahabari Ikulu,Jijini Dar es salaam  
Rais Barack Obama wa Marekani (kushoto) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari wa Tanzania na Kimataifa Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo mbali na kuzungumzia mstakabali wa ziara yake nchini Tanzania na Afrika pia amezungumzia masulala mbalimbali ya Kimataifa ukiwepo mgogoro na Vurugu zinazoendelea nchini Misri na Congo DRC
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza mgeni wake baada ya kumpatia mapokezi ya kihistoria Ikulu
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam .

PICHA ZOTE NI KWA HISANI YA ISSA MICHUZI NA FRANCIS DANDE, YAHOO NA PAMOJAPURE BLOG


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: