Mkuu
wa Wilaya ya Moshi Mjini Dr Msengia akiaga baada ya kuitembelea timu
Serengeti Fiesta 2012 Mkoa wa Kilimanjaro jioni ya leo.
Mkuu
wa Wilaya ya Moshi Mjini Mheshimiwa Dr Msengi akiwa na Afisa Uhusiano
wa Clouds Entertainment Co. LTD kwa upande wa Viongozi wa Taasisi za
Serikali na Vyama vya Siasa Ndugu Simalenga Simon wakati Mkuu huyo wa
Wilaya alipoitembelea timu ya amsha amsha ya tamasha la Serengeti Fiesta
2012 Mkoani Kilimanjaro jioni hii.
Mmoja
wa washabiki wa tamasha la Serengeti Fiesta damu akiwa na fulana yake
ya tamasha hilo lililowahi kufanyika mjini Moshi lililopachikwa jina la
jipanguse kama uonavyo pichani.
Tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linatarajia kuzinduliwa rasmi kesho katika uwanja wa chuo cha Ushiriki
mkoani humo,ambapo msanii nyota kutoka nchini Kenya,CMB Prezoo
ataliongoza jahazi la wasanii mbalimbali kutoka hapa nyumbani,katika
tamasha hilo
No comments:
Post a Comment