HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Kuna Uhaba Mkubwa Wa Mafuta Nchini Kwa Sasa

 
Kwa siku nne sasa Iringa imekuwa na uhaba wa disel na petrol. Tatizo linaripotiwa kuwemo katika sehemu nyingine za nchi.  Jana nilishindwa kabisa kupata mafuta Iringa. Nilikuwa na mafuta ya kuweza kunifikisha Ilula tu. Hapo nilidhani kungekuwa na kit uo chenye mafuta. 

Hapana! Bahati nzuri dereva wa basi la kwenda Uhambingeto aliweza kunisaidia kwa kuniuzia lita zake ishirini za dizeli. Zinifikisha Mikumi. Pale Mikumi nikafanikiwa kupata mafuta ya kununua kituoni. Vinginevyo, kwa mara ya kwanza jana nimelazimika kununua mafuta ya ' kulanguliwa'. Lita moja kwa shilingi elfu tatu. Hakyamungu! 

  Songea

Mjini Singida

Askari polisi wa mjini Singida akisimamia ugawaji wa petrol jana (29/10/2012)  kwenye kituo cha mafuta cha Esso.
Baadhi ya wafanyabiashara wa bodaboda mjini Singida,wakiwa kwenye foleni jana (29/10/2012) wakisubiri kuuziwa petrol.Kwa zaidi ya wiki tatu,kumekuwa na uhaba mkubwa wa nishati ya mafuta kitendo ambacho kimeathiri shughuli nyingi za kiuchumi kwa wakazi wa mji wa Singida na vitongoji vyake.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: