Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na Uongozi wa
Serikali ya Vietnam,katika ziara ya uhusiano na ushirikiano baina pande
bili hizo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(kushoto)m akizungumza na Makamo wa Rais wa Vietnam Bibi Nguyen
Thi Doan,alipofika Ikulu kwa Mazungumzo ya Uhusiano na Mashirikiano
baina pande mbili hizo,Rais akiwa katika ziara maalum ya kiserikali
nchini humo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiweka shada la mauwa katika kumbusho wa Baba wa Taifa la
Vietnam, Ho Chi Minh Mousoleum,alipowasili chini humo akiwa katika ziara
rasmi ya Kiserikali,ya wikimoja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa na ujumbe wake wakitoa heshima ya salamu baada ya kuweka
shada la mauwa katika kumbusho wa Baba wa Taifa la Vietnam, Ho Chi Minh
Mousoleum,akiwa katika ziara rasmi ya Kiserikali,ya wikimoja nchini
humo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa na ujumbe wake wakiongozwa kwa gwaride maalum wakati
alipowasili katika kumbusho wa Baba wa Taifa la Vietnam, Ho Chi Minh
Mousoleum,kuweka shada la mauwa,akiwa katika ziara rasmi ya
Kiserikali,ya wikimoja.[Picha na Ramadhan Othman,Vietnam.]
No comments:
Post a Comment