HUKUMU YA FUNDIKIRA YAZUA KILIO MAHAKAMANI, WENGINE WAZIMIA

Leo ilikuwa ndiyo siku ya hukumu dhidi ya watuhumiwa watatu wa mauaji ya marehemu Swetu Fundikira aliyeuawa kwa kupigwa miaka miwili iliyopita. Mara baada ya watuhumiwa hao kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa, ndugu na jamaa wa marehemu waliangua kilio na wengine hadi kuzimia kama walivyoshuhudiwa na paparazi wetu aliyeweka kambi mahakamani hapo.
 Safari ya huzuni ya Rhoda Robert kuanza maisha mapya gerezani mara baada ya hukumu...
Kushoto ni dada wa marehemu Rehema Fundikira, Hadija Mdemu shemeji wa marehemu wakilia mahakamani hapo. 
 Mmoja wa ndugu wa Fundikira akibebwa mara baada ya kuzimia na kudondoka sakafuni
  Akipepewa huduma ya kwanza kwa kupepewa
(Kwa picha zaidi bpfya read more)

PICHA: ISSA MNALLY/GPL

No comments

Powered by Blogger.