HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » LEO NILIPOKWENDA KUCHUKUA JOHO KWA AJIRI YA GRADUATION ITAKAYOFANYIKA TAREHE 22/11/2012

 Waitim wakisubilia zoezi la kugawa majoho kwa ajiri ya mahafari ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma
 Hii ni foleni ya kuchua majoho leo mchana
 Nilikua nafanya majaribio kama linanitosha kwani linaweza kuakubwa au dogo
 Joho limenitimia naisubilia tarehe 22/11/2012 kwa ajili ya graduation yangu ya shahada ya kwanza
 Aneth akifungua Joho kwa ili kulijaribu kama linamtimia
Fabian akijaribu Joho lake maana ilionekana kuna mabovu ili kuangalia kama ni zima
Patrick na yeye hakaua mbali maana alijaribu joho lake kama linamtosha



Majengo ya lecture room yaliyoko collage ya humanities and social science

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: