HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAANDALIZI YA UJENZI WA JENGO LA GHOROFA MOI

 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Mhandisi Reginald Kimambo akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa taasisi hiyo, ramani ya ujenzi wa jengo la ghorofa saba walipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Dar es Salaam leo.
Wajumbe wakielekea kuangalia eneo patakapojengwa jenmgo hilo
           Wajumbe wakinagalia ramani
 Wafanyakazi wa MOI wakielekea sehemu ya kiwanja
Wakiangalia sehemu ya uwanja huo
Sehemu ya kiwanja hicho ambacho watajenga ghorofa
           Maandalizi yakiendelea ya baadhi ya nyumba ambayo itatunza vifaa na wafanyakazi
(PICHA NA KHAMIS MUSSA)

CHANZO: MICHUZI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: