HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Mahafari ya Tatu kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma yaliyofanyika tarehe 21/12/2012 yamejumuisha collage kama College of Education, College of Natural and Mathematical Sciences, College of Informatics and Virtual Education, College of Earth Sciences and College of Health Sciences

Maandamano yalianza kama yalivyopangwa
Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma  Mh.Benjamin William Mkapa akiongoza maandamano
Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha alikua akimuongoza Chancellor kwenye maanadamano ya mahafari ya chuo kikuu cha Dodoma
Dean wa collage ya Humanities and Social Science,  Prof. Davis Mwamfupe alikua kwenye maandamano
Deputy Vice Chancellor Planning, Finance and Administration Chuo Kikiku cha Dodoma  Prof. Shaaban A.K. Mlacha alikua akimuongoza Chancellor kwenye maanadamano ya mahafari ya chuo kikuu cha Dodoma
  Baadhi ya waathiri wa chuo kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye maandamano
 
Baadhi ya Wathiri wakibadilishana mawazo

Haji (kushoto) akiwa na Mnisi (kulia) wakifurahia kutunukiwa shahada ya kwanza ya ualimu
Bendi iliyokua inaongoza maandamano
 


Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dodoma  Mh.Benjamin William Mkapa akitoa nasaa kwa waitimu


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: