Taswira ya maafari ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma tarehe 20/11/2012

 Kadaso aliyekua anasoma BA Fine Art and Design akiwa ametokelezea na cheti chake na furaha nyingi
 Japhet aliyekua anasoma BA in Project Planning, Management and Community Development(kushoto) akiwa na Andrew aliyekua anasoma BA in Kiwahili Linguistics na pia ndie aliyeongoza kuwa na High GPA kwani kamaliza akiwa na GPA ya 4.7
 Hii picha ya pamoja baada ya kugawa vyeti
Kaka Richy nae hakua nyuma maana alikua na furaha kwa kupokea zawadi na cheti chuo kikuu cha Dodoma
 Vijana wakipongezana baada ya kuchukua vyeti nakupiga picha ya pamoja
 Maandaliza nayo yalikua yanaendelea katika mahafari ya tatu chuo kikuu cha Dodoma

No comments

Powered by Blogger.