Haya ndo maji taka yanayoifadhiwa kwenye mabwawa manne nje kidogo ya mji wa Dodoma
Watoto wakiwa ndani yamojawapo ya bwawa la maji taka
Hili ni bomba linalomwaga maji taka kwenye moja ya bwawa
Hili ni bomba linalotoa majitaka kwenye bwawa moja na kumwaga kwenye bwawa lingine
Mojawapo ya bwawa la kutunza maji taka kati ya mabwawa manne yanayotunza maji taka













No comments:
Post a Comment