HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI ENGLISH PREMIER LEAGUE KATI YA CHELSEA 1 vs LIVERPOOL 1



VIKOSI:
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Terry, Ivanovic, Bertrand, Mikel, Ramires, Hazard, Oscar, Mata, Torres
Akiba: Turnbull, Romeu, Moses, Ferreira, Marin, Sturridge, Cahill.
 
Liverpool: Jones, Wisdom, Carragher, Agger, Johnson, Allen, Gerrard, Sterling, Sahin, Jose Enrique, Suarez
Akiba: Gulacsi, Cole, Assaidi, Henderson, Coates, Downing, Fernandez Saez.
 
Refa: Howard Webb
 
Wakiwa kwao  Chelsea leo wamelazimishwa sare ya goli 1 kwa 1 na timu ya Liverpool.
Nahodha John Terry akiichezea AMechi yake ya kwanza ya Ligi tangu afungiwe Mechi 4 aliifungia Chelsea bao moja lakini Liverpool walizinduka na kusawazisha kupitia Luis Suarez na Mechi kumalizika 1-1 na kuwafanya Chelsea waipishe Man City kwenye nafasi ya pili wakiwa nyuma ya vinara Manchester United.
 
John Terry akiifunga timu yake goli kwa kichwa

 
John Terry akichukuliwa nje ya uwanja kwa matibabu 
John Terry akilalamika baaada ya kupata maumivu muda mchache baada ya kulaliwa mguu na Suarez

 
Jamie Carragher (kulia) akichuana na striker Fernando Torres usiku huu.

Suarez akiwaacha hoi Chelsea dakika ya 73 baada ya kutupia goli la kusawazisha.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: