HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJARI ZATISHIA WAKAZI WA MBEYA:MMOJA AFARIKI PAPO HAPO WENGINE 11 WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOTOKEA MAENDEO YA NZOWE MBEYA LEO MCHANA

Gari aina ya hiace Daladala mbili  zimegongwa na Roli  aina ya Lelyand Daf ambalo lilifeli breki  hivyo kwenda kuparamia daladala hizo ambazo zilikuwa zinashusha abiria kwenye kituo cha njia panda itende jijini mbeya yaani barabara kuu iendayo Tunduma


Bibi huyu akiwa anasikitika huku kashika kuni zake mkononi akisema ajali hizi zinazidi kuwamaliza vijana hakuwa na maneno mengi zaidi ya kusema eee mungu tuondolee balaa hili la ajali

Hii ndi hiace ya pili inayofanya safari zake katika sokomatola na iyunga



Umalti wa wananchi wakiwa hawaamini kilichotokea hapo 



Hili ndilo Roli lililogonga Hiace zote mbili dereva wa roli hilo kakimbia


Baadhi ya majeruhi wakipata matibabu katika hospitali ya rufaa mbeya

Baadhi ya wananchi wakimiminika kwenda waona ndugu zao waliopata ajali


Moja wa mashuuda wa ajali hiyo akiwasimulia waandishi wa habari jinsi ajali ilivyotokea


PICHA NA MBEYA YETU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: